Mwenyekiti wa kamati ya sherehe ya kumuaga mtoto wa mbunge wa jimbo la peramiho,Mh. Jenista Mhagama Bi Ledina Mhagama,Bw Yusuf Mwikoki (kushoto) akimpa zawadi ya kinyago mke wa waziri mkuu Mama Tunu Pinda juzi mjini Songea ikiwa ni ishara ya kuthamini mchango wake kwa kuhudhuria sherehe hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa parokia ya bombambili mjini hapa.
Mke wa waziri mkuu Mama Tunu Pinda wa pili kushoto,akiwa na mke wa mkuu wa mkoa wa Ruvuma Hafisa Mwambungu wa kwanza kushoto,wakisikiliza mahubiri kutoka kwa paroko wa parokia hiyo aliyefahamika kwa jina moja la Mapunda hayupo pichani katika kanisa la mt Theresia porokia ya matogoro jimbo kuu la Songea juzi kwenye ibada ya kumuombea Bi Ledina Mhagama ambaye ni mtoto wa mbunge wa jimbo la peramiho Jenista mhagama wa pili kulia kabla ya kufunga ndoa juzi mjini Songea,wkwanza kulia ni mpambe wa Ledina Bi Suma mwakatobe.
Mbunge wa jimbo la Peramiho Ruvuma,Jenista Mhagama wa kwanza kulia akiteta jambo na mke wa Waziri mkuu Mama Tunu Pinda katikati katika misa maalum ya kumuombea mtoto wa mbunge huyo Ledina Mhagama hayupo pichani,iliyofanyika katika kanisa la mt theresia parokia ya matogoro jimbo kuu la songea juzi,wa kwanza kushoto ni Hafisa Mwambungu mke wa mkuu wa mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu.
Mama Tunu Pinda wa pili kushoto.akicheza muziki na mbunge wa jimbo la peramiho jenista mhagama wa pili kulia,mke wa mkuu wa mkoa wa Ruvuma Mama Hafisa Mwambungu kulia,katika sherehe ya kumuaga(sendoof)mtoto wa jenista mahagama Bi Ledina Mhagama wa kwanza kushoto iliyofanyika katika ukumbi wa parokia ya bombambili mjini songea juzi.Picha na Muhidini Amri wa Glogu ya Jamii,Ruvuma.






its okwad mwenye sherehe ndiyo anapaswa kupewa zawadi si muhudhuriaji what is this.
ReplyDeleteMakubwa. Hii sendoff haikuwa na wageni wengine?
ReplyDeleteHv mh ana Ledina na Levina? Mana najua Levina alikuwa kidato cha sita kule nanihii
ReplyDeleteNimependa MH.MAMA Jenista alivyovaa kanisani!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeletemakubwa mgeni rasmi? halafu anapewa zawadi? sherehe kama hizi mgeni rasmi ni muhusika i.e. Ledina/Levina - acheni ushamba
ReplyDelete