Home
Unlabelled
Miaka 50 ya Uhuru - Kijitonyama Evangelical Choir
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Haleluya!! Asante michuzi
ReplyDeleteTumesikia sana negatives, picha zote tulizoonyeshwa ni mabya, watoto wanakaa chini, shule nzima mwalimu mmoja, barabara mbovu, umaskini maisha duni. Leo nimefurahi pia kuona mema yaliyotokea miaka 50 iliyopita. Tusisahau kumshukuru Mungu kwa mema. Tunayo amani na pia tuna maendeleo katika maeneo flani flani, natamani angetokea mtaalamu akatuainishia maendeleo yote tuliyoyapata tokea uhuru na pia mapungufu yote tuliyonayo tokea uhuru, tujionee wenyewe. mdau Richard Rwechungura-Norway
ReplyDeletedini na siasa
ReplyDeletenyimbo hii ni nzuri sana;Ila Siasa na Dini haziendani.Tunakoelekea siko. Nadhani mmeiimba kwa kuzingatia soko lililopo kwa sasa.
ReplyDeletemdau wa tatu acha kuleta pekepke hapa hakuna udini, huu ni wimbo wa kawaida hakuna neno la dini ndani yake.
ReplyDeleteAu ni kwasababu tu umeimbwa na kwaya?? Tupevuke jamani, ebooh!
Nyimbo nzuri ila sijapenda watu wa Dini pale wanaposema "wanaosema waache waseme" ndo lugha gani hiyo nyie wapendwa?? Dini ama Siasa????
ReplyDeleteWimbo poa ila kuna kosa:
ReplyDeleteHuu ni uhuru wa Tanganyika au Tz Bara tarehe 9December.
Zanzibar haijawahi kupata uhuru tarehe hii, tuwe makini hapa.
Inaelekea wabongo wengi hadi leo hawajui historia, na ninashangaa hata huyo mtunzi wa wimbo hadi kurekodi hajui hili. Ni aibu.
Ipeni Zanzibar heshima yake tafadhali, tusiidharau au kuifanya kama eti kajimkoa tu.
Zanzibar ina siku yake maalum ya uhuru na mapinduzi.
Na pia tukumbuke mwaka 1961 Tanzania haikuwepo ilikuwa Tanganyika, Tanzania ilizaliwa mwaka 1964 baada ya Muungano.
Kwanini tunaona haya kutumia jina Tanganyika wakati Zanzibar wanajivunia?
Mbona wenzetu UK wameungana lakini bado wamebakiza majina yao, ENGLAND, SCOTLAND, WAILES, NORTHERN IRELAND??
Sisi tuna matatizo gani jamani???
Kutumia jina Tanganyika inarahisisha hata wageni watalii kujua kwa urahisi unazungumzia Tanzania upande gani hasa.
Na hii haiadhiri muungano wetu hata kidogo.
Tubadilike jamani.
Shukrani Ankal! kweli alie na macho haambiwi tazama.
ReplyDeletemh haya
ReplyDelete