Mdau Rahim Mbowe akiwa nyumbani kwao kabla ya kwenda kutunukiwa Shahada ya kwanza ya Menejimenti ya Utalii, katika mahafali ya nne ya chuo Kikuu cha Tumaini (SMMUCO) mjini moshi mwishoni mwa wiki..
Rahim akiwa na wahitimu wenzake.
Mdau Rahim Mbowe akiwa na baba yake Mohamedi Mbowe na mama yake Grace Temba mara baada ya kutunukiwa Shahada ya kwanza ya Menejimenti ya Utalii, katika mahafali ya nne ya chuo Kikuu cha Tumaini (SMMUCO) mjini moshi mwishoni mwa wiki.
Rahimu akiwa na dada yake Bilhuda Mbowe.






Hayo macho ya huyo dada kushoto kwa Rahimu mh, we acha tu!!
ReplyDeleteMa'ansha.Allah mmependeza sana Rahim na dada yako Rahma,Allah akuzidishieni,,,Ahlam UK
ReplyDeletenaweza kwenda kuchumbia kesho
ReplyDelete