The Minister for Home Affairs, Mr Shamsi Vuai Nahodha chats with Doris Rweyemamu, a receptionist at the Tanzania Mission to the UN shortly after the Minister arrived here yesterday.
The Tanzania Minister for Home Affairs, Hon.Vuai Shamsi Nahodha chats with H.E. Ambassador Ombeni Sefue, the Permanent Representative to the United Nations yesterday.Photos by ASSAH MWAMBENE.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Huyo recepionist kwenye computer yake hapo anaonekana kabisa kwamba alikuw yuko kwenye facebook page yale....Dah! Yaani hii picha inaweza kuwa ushahidi tosha kabisa kwamba watu wengi maofisini wanashinda wanachati kwenye mitandao ya kijamii1

    ReplyDelete
  2. NO HIYO SI PAGE YA FACEBOOK. ACHA MAJUNGU MDAU

    ReplyDelete
  3. daaaaaah mwana dada anatumia muda wake wa kazi kuongea na watu kwenye facebook ama kweli facebook haina mmoja basi angeliitoa aliposikia kiongozi anakuja na angelikuwa kafungua site ya serikali walau aonekanae yupo busy na mambo ya serikali hahahahaha

    ReplyDelete
  4. Tanzania parliament.tz.org.....

    ReplyDelete
  5. Yaani Doris, cool za miaka? Sikukosea kukuita HAPENDEKI....ukaniacha Solemba mwenzio lol....hay a na kemi Nayeli kapotelea wapi? France?
    Caribou bungeni.
    Mdau...ukiangalia Bunge la Bongo utamuona HAPENDEKI.

    ReplyDelete
  6. Thats a facebook page

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...