Home
Unlabelled
sheria za usalama barabarani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Unamaanisha huwezi kuovertake.
ReplyDeleteUnaigawa barabara kwenye pande mbili...
ReplyDeleteKitalaam zaidi wanasema unaruhusiwa ku overtake
Halafu kuna ngoma mbele inakuja...!!!!
ReplyDeleteDavid
Waumbueni hao ili tupate kujirekebisha
ReplyDeleteIkiwa ni solid line kama inavyoonekana kwenye taswira inamaanisha hauruhusiwi kulipita gari la mbele yako. I
ReplyDeleteHuo mchoro mweupe una maanisha kwamba "ajali haina kinga".
ReplyDeleteAfu ukipata ajali,,ooh ni mpango wa Mungu,kazi ya Mungu haina makosa..Binadamu tunamsingizia Mungu kwa kila upumbavu tunaofanya.Mtu ana overtake sehemu ya mkunjo, kona, kilimani angali hajui mbele kuna nini.Matokeo ajali za kipumbavu zinatokea.
ReplyDeleteUnamaanisha Ovataki is alaudi
ReplyDeletehakuna ku over teki
ReplyDeleteni wazo zuri , ila hiyo 'ga' ....,aaagh!!!!
ReplyDeletehuruhusiwi ku over take
ReplyDeletedont overtake
ReplyDeleteMstari mweupe katikati ya barabara una maanisha usi over-take.
ReplyDeleteStay on the lane or in other word do not overtake !
ReplyDeleteHauna maana yeyote labda ni marembo barabarani. Ki bongo mpango mzima overtake hat a Kama kuna gari linakuja upande mwingine. Kama umeundikiwa kufa uta kufa tu.
ReplyDeleteHauna maana yeyote labda ni marembo barabarani. Ki bongo mpango mzima overtake hat a Kama kuna gari linakuja upande mwingine. Kama umeundikiwa kufa uta kufa tu.
ReplyDeleteAnkoli hapo inamaanisha si ruhusa kulipita gari la mbele yako, naona hiyo Benz iliofanya hivyo imevunja sheria hiyo!!
ReplyDeletemstari unamaanisa kuwa Hauruhusiwi ku"overtake" kwa sababu mbalimbali,kona,daraja ,poor visibility n.k. labda mdau wa M-class ametoka kwa Obama wanakotembea kulia :-)
ReplyDeleteIkiwa wewe uliyeuliza swali ni dereva,God help us.
ReplyDeletehuo mchoro mweupe ukiwa solid, unamaanisha USIOVATEK, na mara nyingi unakuwepo kwenye milima au kona, kwasababu humuoni anaekuja on the opposite direction,,,
ReplyDeletekama hapa huyo jamaa mwenye hilo gari kafanya kosa kubwa sana,huwezi overtake,kwenye kona,kwasababu kule mbele kuna lorry linakuja....
ReplyDeleteWatu pamoja na magari vinaongezeka haraka mno kuliko huduma zinazotolewa. Panua barabara na pia weka udongo au matofali ya simenti kuzitenganisha sehemu za barabara za kwenda na kurudi.
ReplyDeleteHuu mchoro unamaanisha huruhusiwi kulipita gari jingine. Lakini mara nyingine lazima ufanye logic. Mathalani kama imekutangulia lori ina mzigo na inatembea 10kmphr huwezi kusubiri bali utaangalia usalama mbele kama panaonekana. Huyu amepita kwa sababu ameona gari iliyomtangulia iko speed ndogo na inayokuja iko umbali unaomruhusu kmalizia kulipita hili kabla hawajakutana ndo sababu akaamua kuovertake.
ReplyDeleteZINGATIO: Kama umesoma vizuri maelekezo ya hizi sheria utaona kwamba huwa kuna "condition" kwa baadhi ya alama ikiwa ni pamoja na ile inayokuruhusu kuovertake.
Mfano, "Mistari iliyochorwa huku ikiacha nafasi(siyo moja kwa moja) inakuruhusu kupita gari jingine ikiwa ni salama na hakuna gari inayokuja upande wako"
ULIZA MASWALI YA KUELEWEKA SIO UNAULIZA UPUUZIUPUUZI TU, WE KWANI UNAFIKIRI UNAMAANA GANI!
ReplyDeleteHuo mchoro mweupe uliojiunga "solid line" unamaanisha dereva hatakiwi kuukanyaga mpaka afikie ile alama ya vipande vyeupe - - - - kama hivyo then ndiyo aweze kumove over au kumpita mtu
ReplyDeletehakuna ruhusa ku -over take!wakipigwa mizinga wanaanza kulalama
ReplyDeleteMchoro huo unamaanisha, Hauruhusiwi ku overtake wakati wote.
ReplyDelete"Huu mchoro unamaanisha huruhusiwi kulipita gari jingine. Lakini mara nyingine lazima ufanye logic. Mathalani kama imekutangulia lori ina mzigo na inatembea 10kmphr huwezi kusubiri bali utaangalia usalama mbele kama panaonekana. Huyu amepita kwa sababu ameona gari iliyomtangulia iko speed ndogo na inayokuja iko umbali unaomruhusu kmalizia kulipita hili kabla hawajakutana ndo sababu akaamua kuovertake.
ReplyDeleteZINGATIO: Kama umesoma vizuri maelekezo ya hizi sheria utaona kwamba huwa kuna "condition" kwa baadhi ya alama ikiwa ni pamoja na ile inayokuruhusu kuovertake.
Mfano, "Mistari iliyochorwa huku ikiacha nafasi(siyo moja kwa moja) inakuruhusu kupita gari jingine ikiwa ni salama na hakuna gari inayokuja upande wako""
OMG, kama hivi ndivyo madereva wa Bongo ndio shule wanayopewa basi haishangazi kwa nini 'ajali' za magari kugongana barabarani zimechukua nafasi nambari wani ya kuchukua maisha ya binadamu wasiokuwa na hatia!!!!!!! Hii imenitisha sana kuliko ajali zenyewe.
Kwa wenzetu waliotuletea vyombo hivi kama mstari ni solid hata kama gari lililo mbele yako linakwenda kwa 10km/hr utakokotana nalo (utasubiri) hadi hiyo sehemu ya solid line imekwisha na hapo ndipo unaruhusiwa 'kufanya logic'.
Jamani mi sijui lolote kwenye hilo nisaidieni tu kunielewesha.
ReplyDeleteAnonymous uliyeandika kwa herufi kubwa tupu hapo juu aliyeuliza swali naona siyo kwamba haelewi maana ya mchoro mweupe bara barani, ila anataka kuelimisha jamii ndiyo maana ameweka picha. Jaribu kuelewa swali kabla ujajibu.
ReplyDeleteHuu mchoro unamaanisha huruhusiwi kulipita gari jingine. Lakini mara nyingine lazima ufanye logic. Mathalani kama imekutangulia lori ina mzigo na inatembea 10kmphr huwezi kusubiri bali utaangalia usalama mbele kama panaonekana. Huyu amepita kwa sababu ameona gari iliyomtangulia iko speed ndogo na inayokuja iko umbali unaomruhusu kmalizia kulipita hili kabla hawajakutana ndo sababu akaamua kuovertake.
ReplyDeleteZINGATIO: Kama umesoma vizuri maelekezo ya hizi sheria utaona kwamba huwa kuna "condition" kwa baadhi ya alama ikiwa ni pamoja na ile inayokuruhusu kuovertake.
Mfano, "Mistari iliyochorwa huku ikiacha nafasi(siyo moja kwa moja) inakuruhusu kupita gari jingine ikiwa ni salama na hakuna gari inayokuja upande wako""
OMG, kama hivi ndivyo madereva wa Bongo ndio shule wanayopewa basi haishangazi kwa nini 'ajali' za magari kugongana barabarani zimechukua nafasi nambari wani ya kuchukua maisha ya binadamu wasiokuwa na hatia!!!!!!! Hii imenitisha sana kuliko ajali zenyewe.
Kwa wenzetu waliotuletea vyombo hivi kama mstari ni solid hata kama gari lililo mbele yako linakwenda kwa 10km/hr utakokotana nalo (utasubiri) hadi hiyo sehemu ya solid line imekwisha na hapo ndipo unaruhusiwa 'kufanya logic'.
HEBU SOMA HIKI KIPANDE KUTOKA KWA HAO "Waliotuletea hivi vyomb"
Solid white lines have a lot of different uses. They are used to mark crosswalks, stop limit lines, the shoulder/edge of roadway, and gore points (the points at on and off ramps).
It is not against the law to cross a solid white line (Unless there is a specific section that makes it illegal such as limit lines or shoulders) but it is discouraged to cross them.
If you are talking about solid white lines separating lanes going in the same direction, like the truck lanes on I-5 over the grapevine, it is not illegal to cross them. However, they mark that it is not advisable to cross them and if you cross them and crash into another vehicle in that lane, you will definitely be found at fault.
KUMBUKA hata wachangiaji wengine huku wameshawahi kwenda huko kwa hao na wameona haya yanateendeka.
Mimi nimepata leseni mwaka huu ufaransa na huku mstari huo huruhusiwi kuuvuka kwa namna yeyote labda tu pale gari lililokutangulia likiwa limesimama kwa kuwa aidha limeharibika au ikiwa dereva kapaki (ingawa kwa kawaida hairuhusiwi kupaki hapo)
ReplyDeleteUnamaanisha AVB wa CHELSEA ndio ana Overtake kwa mabavu tehtehteh.
ReplyDelete