Mkuu wa mkoa wa dar es salaam mh.Said Meck Sadiki akitoa shukrani kwa Mkurugenzi wa kampuni ya konyagi bw David Mgwassa, kwenye makabidhiano ya vifaa vya usafi vilivyotolewa na kampuni hiyo kwenye ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Kampuni ya konyagi Bw David Mgwassa (kulia) anaeonekana akiwa pamoja na wafanyakazi wa halmashauri ya jiji la dar es saalam waliokabidhiwa vifaa vya usafi wa jiji na kampuni ya kinywaji cha konyagi katika ofisi ya mkuu wa mkoa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Bado tunayo njia ndefu sana kufikia lengo la usafi.

    Utaona wandugu yuko kwenye gari nzuri aina ya land cruiser, nissan patrol na prado lakini anashusha kioo cha dirisha na kutupa chupa ya maji barabarani kweupe!

    Ushamba ulioje.

    ReplyDelete
  2. Kijana MzalendoNovember 25, 2011

    Huu ni Ujuzi wa mwaka1947, Watanzania fumbueni macho mtumie vifaa vya kisasa.
    Street-Sweeper-ZLJ5050TSL-.jpg
    Mini-Road-Sweepers.jpg

    Ujenzi wa barabara ya mamilioni halafu inatunzwa na ufagio wa sh elfu moja. NI AIBU KUBWA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...