Naibu waziri wa Mamlaka ya Redio,Filamu na Televisheni wa jamhuri ya watu wa China Li Wei wa kwanza kushoto akimkabidhi mkuu wa chuo cha Uwandishi wa Habari Saleh Yussuf Mnemo katika hafla iliofanyika katika ukumbi wa chuo hicho huko vuga mjini zanzibar.
Mkuu wa chuo cha Uwandishi wa Habari Saleh Yussuf Nemo wa kwanza kulia akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Mamlaka ya Redio,Filamu na Televisheni wa jamhuri ya watu wa China Li Wei wakatikati katika hafla iliofanyika katika ukumbi wa chuo hicho Huko Vuga mjini Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...