Wadau Aboubakar Liongo (shoto) na George Kanuti Njogopa ambao ni watangazaji wa Idhaa ya Kiswahili Radio ya Ujerumani (DW) wakiwa Jijini Bonn nchini Ujerumani wakati wa maandalizi ya msimu wa sikukuu ya Krismas huku wakiwa wameshikia vikombe vyenye kinywaji maalum cha msimu huo wa sikukuu kiitwacho Gluwine.picha ya chini wakiwa na mwanadada Salma Said.
Home
Unlabelled
wadau wa Globu ya Jamii
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
George Njogopa nakuona unawakilisha ndani ya Ujerumani...Rose Garden-kaunta wanaku-miss sana kipindi hiki...!!
ReplyDelete