Wadau Aboubakar Liongo (shoto) na George Kanuti Njogopa ambao ni watangazaji wa  Idhaa ya Kiswahili Radio ya Ujerumani  (DW) wakiwa Jijini Bonn nchini Ujerumani  wakati wa maandalizi ya msimu wa sikukuu ya Krismas huku wakiwa wameshikia vikombe vyenye kinywaji maalum cha msimu huo wa sikukuu kiitwacho Gluwine.picha ya chini wakiwa na mwanadada Salma Said.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. George Njogopa nakuona unawakilisha ndani ya Ujerumani...Rose Garden-kaunta wanaku-miss sana kipindi hiki...!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...