Kamishna wa Fedha za Nje kutoka Wizara ya Fedha,Said Magonya akiueleza Ujumbe wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) kutoka mjini Tunis nchini Tunisia jana mjini Arusha hatua mbalimbali zilizokwishafanywa na Tanzania katika kuhakikisha mkutano wa AfDB unafanyika kwa ufanisi hapo mwezi Mei mwakani(2012). Wengine ni Mkuu wa Itifaki na Benki ya Maendeleo ya Afrika na Kiongozi wa Ujumbe kutoka AfDB nchini Tunisa Bi. Antoinette Batumubwira (kulia) na Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa AICC Savo Mung,ong,o(kushoto).
Ujumbe wa Benki ya Maendeleo ya Afrika(AfDB) kutoka Tunis nchini Tunisia wakiwa na Ujumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika unaotarajiwa kuwafanyika nchini mwezi Mei mwakani (2012) jana mjini Arusha wakiangalia eneo mbalimbali ambapo mkutano huo utakaponyika.Picha na Tiganya Vincent, Arusha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...