Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Afadhali angalau kidogo $ inashuka bei,,,du ilikuwa hatari ilikuwa inaelekea bei ya 1$ kwa Tshs. 2,000 hivi!

    ReplyDelete
  2. Haya mabango ya exchange mi yananishangaza sana..Huwa wanaandika tu lkn baadhi ya pesa hawanunui wala hawauzi.Mwezi June mwaka huu nlihangaika Dar nzima kutafuta Swedish Kroner sikupata..wazushi tu wanaandika hapo lkn hamna chochote.

    ReplyDelete
  3. na sasa euro inashuka sana mmh situmi mihela yangu mpaka ifikie walau 2300

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...