Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru akibonyeza kitufe kuzungumza na mmoja wa wahudumu wa wa kituo kipya cha huduma kwa wateja cha benki hiyo kilipozinduliwa jijini Dar es Salaam leo.Kulia ni Meneja Huduma kwa Wateja, Jane Dogani, kushoto ni Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa NBC,Maharage Chande na wapili kulia ni Meneja wa Kituo hicho, Ngwitika Mwahesya.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Lawrence Mafuru (katikati) akizungumza wakati wa uzinduzi wa kituo kipya cha huduma kwa wateja cha benki hiyo jijini Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto waliokaa ni Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa NBC, Maharage Chande, Meneja wa kituo hicho, Ngwitika Mwahesya na Meneja Huduma kwa Wateja, Jane Dogani.
Baadhi ya wafanyakazi wa NBC wakishuhudia uzinduzi wa kituo kipya cha huduma kwa wateja wa benki yao jijini Dar es Salaam leo.
habari haijakamilika! waandishi mbumbumbu! kujua kuwa kimefunguliwa haiwasaidii wateja, ila kujua kimefunguliwa na kipo wapi itawasaidia wateja!!! BACK TO GOOD SCHOOL!!
ReplyDelete