Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bikini TZ? Na wewe muislamu mwenzetu Michuzi unapokea pesa kuweka hili tangazo kwa ajili ya pesa?
ReplyDeleteTuweni waangalifu na kutunza heshima na utamaduni wa mtanzania. Hatujafikia kukaa uchi kwenye public.
Najiandaa kupata BP nikijaona picha ya biti yangu kavaa bikini kati ya kundi la madada
Msisahau pia wadada wa kibongo wamejaza kwa nyuma. So itakuwa kitafunio kwa wanaume.
Pleaseeeeeeeee tuweni makini. Si vyote vinafaa Tanzania na si kwa uwazi kiasi hicho
Mmh!!!
ReplyDeleteKwa yeyote;
Umbo gani hili katika maumbo ya nyonga?
Msihofu mnijuze mwenzenu!!
Mimi naona kama ni umbo la Kopa wa kwenye karata.
ReplyDeleteUsihofu, wapo waliojaliwa.
Binti wa namna hii walimpataje au walimwonaje hata kuweza kumweka kwenye tangazao namna hii????
ReplyDeletePicha ya kuchora tu hiyo, watu wamejaliwa kipaji cha kuchora.
ReplyDeleteDuhhh na mihips aliyonayo, hili ni tangazo la biashara au yupo ktk mauzo binafsi?...hasomeki!
ReplyDelete