Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. KifimbochezaDecember 03, 2011

    Bikini TZ? Na wewe muislamu mwenzetu Michuzi unapokea pesa kuweka hili tangazo kwa ajili ya pesa?
    Tuweni waangalifu na kutunza heshima na utamaduni wa mtanzania. Hatujafikia kukaa uchi kwenye public.
    Najiandaa kupata BP nikijaona picha ya biti yangu kavaa bikini kati ya kundi la madada
    Msisahau pia wadada wa kibongo wamejaza kwa nyuma. So itakuwa kitafunio kwa wanaume.
    Pleaseeeeeeeee tuweni makini. Si vyote vinafaa Tanzania na si kwa uwazi kiasi hicho

    ReplyDelete
  2. Mmh!!!

    Kwa yeyote;

    Umbo gani hili katika maumbo ya nyonga?

    Msihofu mnijuze mwenzenu!!

    ReplyDelete
  3. Mimi naona kama ni umbo la Kopa wa kwenye karata.

    Usihofu, wapo waliojaliwa.

    ReplyDelete
  4. Binti wa namna hii walimpataje au walimwonaje hata kuweza kumweka kwenye tangazao namna hii????

    ReplyDelete
  5. Picha ya kuchora tu hiyo, watu wamejaliwa kipaji cha kuchora.

    ReplyDelete
  6. Duhhh na mihips aliyonayo, hili ni tangazo la biashara au yupo ktk mauzo binafsi?...hasomeki!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...