Mwanamuziki wa Kimataifa kutoka nchini Congo,Fally Ipupa akiwa ameongozana na wenyeji wake wakati alipowasili jijini mchana wa leo tayari kwa shoo moja ya Usiku wa Mwafrika mahsusi kwa Wadau wa Club E itakayofanyika usiku wa leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar.
 Fally Ipupa akitoka ndani ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius K. Nyerere

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. anakuja tena kupewa matako ya kukamata kamata na kupapasa hovyo au kuimba?

    ReplyDelete
  2. Kingilio Shilingi ngapi? please Michuzi tueleze mapema

    ReplyDelete
  3. Duhhh asalale, Dada zetu, Mashemeji zetu wake za ndugu zetu wanatokewa tena na dowezi huyu!...maana jamaa ni mnawaji mzuri sana, ni kamata kamata makalio tu!

    ReplyDelete
  4. ingine! ingine! mususu mususu!nataka oa mwanamuke moya hapa!

    ReplyDelete
  5. toka CONGO au DR CONGO? hizo nchi mbili tofauti!

    ReplyDelete
  6. Mbona kina KK wameshajiandaa kumpokea. Stop worrying kuna wenye kazi special ya ku entertain wageni kama hao.

    ReplyDelete
  7. Jamaa kumbe Buckeyes!!!! O.H.I.O represent Fally...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...