Mwanamuziki wa Kimataifa kutoka nchini Congo,Fally Ipupa akiwa ameongozana na wenyeji wake wakati alipowasili jijini mchana wa leo tayari kwa shoo moja ya Usiku wa Mwafrika mahsusi kwa Wadau wa Club E itakayofanyika usiku wa leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar.
Fally Ipupa akitoka ndani ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius K. Nyerere
anakuja tena kupewa matako ya kukamata kamata na kupapasa hovyo au kuimba?
ReplyDeleteKingilio Shilingi ngapi? please Michuzi tueleze mapema
ReplyDeleteDuhhh asalale, Dada zetu, Mashemeji zetu wake za ndugu zetu wanatokewa tena na dowezi huyu!...maana jamaa ni mnawaji mzuri sana, ni kamata kamata makalio tu!
ReplyDeleteingine! ingine! mususu mususu!nataka oa mwanamuke moya hapa!
ReplyDeletetoka CONGO au DR CONGO? hizo nchi mbili tofauti!
ReplyDeleteMbona kina KK wameshajiandaa kumpokea. Stop worrying kuna wenye kazi special ya ku entertain wageni kama hao.
ReplyDeleteJamaa kumbe Buckeyes!!!! O.H.I.O represent Fally...
ReplyDelete