Home
Unlabelled
Gari la Mbunge wa Iramba iliponasa mtoni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani hii ni hatari sana. Siamini Mwigulu amemwachia huyu mtu alale namna hiyo.
ReplyDeletewhat an irony? kwanza 4x4 imekwama, lakini pili mbunge anapata first hand experience ya maisha ya jimbo lake.
ReplyDeletewaafrika sisi,Mungu atusaidie tu.
ReplyDeletesasa nae hio bendera si angeificha maana aibu kwa chama chake.
ReplyDeletewaswahili tunapenda sana utumwa na kujipendekeza.HUyo jamaa misifa na njaa zake ndo kajipeleka uko chini ya uvungu ! wabongo bwana
ReplyDeletemdau pari
Tunao matahila wachache wanafanya hivyo bila hata kuacha bima kwa ajili ya familia zao, ni mambo ya kujipendekeza hayo wala siyo kingine aonekane tu zaidi mbele ya Mbunge wake.
ReplyDeleteNazipenda sana hizi VX new model.
ReplyDeleteHazina bei sana ni Tshs150M tu.
wananchi wenye mapenzi mema na viongozi wao, lakini viongozi hawalioni hilo. wakisha mkwamua hapo anatoa buku mbili kuonana tena wakati kwa kampeni.
ReplyDeleteHiyo gari ni ya kutembelea Dar kwenye barabara za lami. Iramba kunataka 4x4!!
ReplyDeletemuheshimiwa mbunge namshauri abadilishe dereva , huyo sio dereva - haiwezekani gari la kiwango hicho kukwama sehemu kama hiyo ,
ReplyDeleteatakuja amtie mtaroni , waache kuwapa shemeji zao magari
ubunge wake huo labda sasa barabara itatengenezwa naomba Mungu anase kila siku hadi akome
ReplyDeleteAnony wa Sun dec, 04, 11:44:00AM 2011
ReplyDeleteUmenifanya nicheke mpaka nife.
Hiyo ni semina tosha ya kumfundisha Mhe. mbunge kuwa kazi anayo maana miundo mbinu mibovu,barabara hana pia zaidi ya hilo pana changamoto zingine ktk Jimbo...kwa akili za haraka na ubinaadamu ingefaa afikirie kuliuza gali lake (VX-V8) la kibilionea na anunue la bei nafuu ili ziada achangie Jimboni kwanza mshahara wameongezewa!
ReplyDeletekwa sifa za hili gari (4WD, dif lock etc etc), sikutarajia likwame mahali kama hapa. Hata jamaa wanaolitengeneza gari hili wakiiona hii picha wanaweza kuwashitaki wamiliki ..... ahahahhahaha
ReplyDelete