Mkazi wa Iramba akihatarisha usalama wake kwa kuingia chini ya gari la Mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi, Mwigullu Lameck Nchemba ili kulinasua gari hilo lililokuwa limekwama kwenye mto Ndurumo Kata ya Kidaru Mkoani Singida.Picha na Abby Nkungu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Jamani hii ni hatari sana. Siamini Mwigulu amemwachia huyu mtu alale namna hiyo.

    ReplyDelete
  2. what an irony? kwanza 4x4 imekwama, lakini pili mbunge anapata first hand experience ya maisha ya jimbo lake.

    ReplyDelete
  3. waafrika sisi,Mungu atusaidie tu.

    ReplyDelete
  4. sasa nae hio bendera si angeificha maana aibu kwa chama chake.

    ReplyDelete
  5. waswahili tunapenda sana utumwa na kujipendekeza.HUyo jamaa misifa na njaa zake ndo kajipeleka uko chini ya uvungu ! wabongo bwana

    mdau pari

    ReplyDelete
  6. Tunao matahila wachache wanafanya hivyo bila hata kuacha bima kwa ajili ya familia zao, ni mambo ya kujipendekeza hayo wala siyo kingine aonekane tu zaidi mbele ya Mbunge wake.

    ReplyDelete
  7. Nazipenda sana hizi VX new model.
    Hazina bei sana ni Tshs150M tu.

    ReplyDelete
  8. wananchi wenye mapenzi mema na viongozi wao, lakini viongozi hawalioni hilo. wakisha mkwamua hapo anatoa buku mbili kuonana tena wakati kwa kampeni.

    ReplyDelete
  9. Hiyo gari ni ya kutembelea Dar kwenye barabara za lami. Iramba kunataka 4x4!!

    ReplyDelete
  10. muheshimiwa mbunge namshauri abadilishe dereva , huyo sio dereva - haiwezekani gari la kiwango hicho kukwama sehemu kama hiyo ,
    atakuja amtie mtaroni , waache kuwapa shemeji zao magari

    ReplyDelete
  11. ubunge wake huo labda sasa barabara itatengenezwa naomba Mungu anase kila siku hadi akome

    ReplyDelete
  12. Anony wa Sun dec, 04, 11:44:00AM 2011
    Umenifanya nicheke mpaka nife.

    ReplyDelete
  13. Hiyo ni semina tosha ya kumfundisha Mhe. mbunge kuwa kazi anayo maana miundo mbinu mibovu,barabara hana pia zaidi ya hilo pana changamoto zingine ktk Jimbo...kwa akili za haraka na ubinaadamu ingefaa afikirie kuliuza gali lake (VX-V8) la kibilionea na anunue la bei nafuu ili ziada achangie Jimboni kwanza mshahara wameongezewa!

    ReplyDelete
  14. kwa sifa za hili gari (4WD, dif lock etc etc), sikutarajia likwame mahali kama hapa. Hata jamaa wanaolitengeneza gari hili wakiiona hii picha wanaweza kuwashitaki wamiliki ..... ahahahhahaha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...