Mkurugenzi Mkuu wa CRDB,Dr. Charles Kimei akizungumza na waandishi wa habari wakati wa hafla ya funga mwaka iliyofanyika hivi karibuni jijini Dar.
Tuzo mbali mbali zilitolewa kwa wafanyakazi wa CRDB siku hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa CRDB,Dr. Charles Kimei akifurahi jambo na Mkurugenzi wa NBC,Lawrence Mafuru
Picha na Baadhi ya wafanyakazi waliotunukiwa tuzo siku hiyo.
Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva,Diamond akitumbuiza katika hafla hiyo.
Kwaito hapa ndio mahala pake.
Ngoma ya Mganda ni mbadala mzuri wa muziki wa Kwaito kwa watanzania maana nayo inaenda kwa step kama kwaito.... changamoto kwa wasanii wa nyumbani kuiondoa kwaito na kutuwekea ya kwetu kama ambavyo mmefanikiwa kuiondoa ndombolo na mabolingo ya ki-zairwaa
ReplyDeleteMzee Kimei kazi nzuri unayoifanya CRDB. Mfano wako unapaswa kuigwa
ReplyDelete