Baada ya kuhama pale Virago Namanga, karibu na Best Bite Restaurant, wajasiriamali James Shang'a na Mishy Marshall, a.k.a J&M Virgo, ambao wameweka historia ya kuwa na duka la mavazi baab'Kubwa nchini, kwa sasa wamehamia Mikocheni kwa Warioba, jijini Dar (ukiwa unatoka mjini angalia kushoto kabla ya kituo cha basi) , hususan katika jengo jipya la  C&G Plaza! Hapo wameshakuletea viwalo bomba toka ughaibuni tayari tayari kwa Xmas na Mwaka Mpya. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 
0715534530 ama 0754534530
For More CLICK HERE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...