Meneja Mkazi wa Coca-Cola Tanzania Dimeji Olaniyan (kushoto) akigongeana glasi na Meneja Mkuu wa Mauzo wa Bonite Bottlers Christopher Loiruk wakati wa uzinduzi rasmi wa Juisi ya Minute Maid inayozalishwa na kampuni hiyo. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.
Meneja Mkazi wa Coca-Cola Tanzania Dimeji Olaniyan (kushoto) akigongeana glasi na Meneja Mkuu wa Mauzo wa Bonite Bottlers Christopher Loiruk (kushoto) na katikati ni Meneja Masoko wa Coca-Cola Tanzania Salome Mabirizi wakati wa uzinduzi rasmi wa Juisi ya Minute Maid inayozalishwa na kampuni hiyo. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.



yaani minute maid hiyo ndo mpa?
ReplyDelete