Katibu wa Halmashauri Kuuya Taifa (NEC) ya CCM, Nape Nnauye (kulia) akizungumza jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya vyombo vya Habari vya CCM, Abdulrahman Kinana, kabla ya kufungua kikao cha kwanza cha bodi hiyo leo, kwenye ukumbi wa Sekretarieti, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,Lumumba, Dar es Salaam.
Katibu wa NEC ya CCM, Nape Nnauye na Mwenyekiti wa Bodi ya Vyombo vya Habari vya CCM, Abdulrahman Kinana (Katikati) wakiwa kwenye kikao ufunguzi a kikao cha kwanza cha bodi hiyo, Ofisi Ndogo ya Makao makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...