Madereva wa daladala na makonda wa manispaa ya Songea wakiwazuia abiria mjini humo kupanda katika magari ambayo madereva wake waligoma kupinga ongezeko la ushuru unaotozwa na manispaa ya Songea kutoka shs 500 hadi 700.
Baadhi ya madereva wa daladala na makonda wao wakiwa wamejipanga barabarani kuzuia magari yasitoke wala kuingia katika vituo vya kupakia abiria wakipinga ongezeko la ushuru kutoka 500 hadi 700 zinazotozwa na manispaa ya Songea.
Baadhi ya madereva wa daladala wanaofanya kazi zao katika maeneo mbalimbali ya manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma,wakiandamana katika barabara kuu ya sokoine mjini humo kupinga ongezeko la bei ya ushuru unaotozwa na manispaa ya songea kutoka shs 500 ya wali hadi 700 ya sasa kwa kila safari wanayofanya.
Bureee kabisa! Twaenda WAPI NCHI HII!
ReplyDelete