Afisa Mchumi Ofisi ya Makamu wa Rais Idara ya Muungano Bi Matha Mashuki akimuonyesha Bw Alex Boniveulire Magazeti ya zamani ya Mwaka Sitini na Tano yanayotoa Changamoto za Muungano kwenye Maonyesho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara yanayofanyika Kwenye Viwanja vya Sabasaba Mjini Dar es Salaam kulia Bw Edwin Kaitona.(Picha na Ali Meja).
Home
Unlabelled
maonyesho ya miaka 50 ya uhuru wa tanzania bara yaendelea katika viwanja vya sabasaba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...