Mchezaji wa mpira wa kikapu toka timu ya Mkoa wa Iringa , Tuku Subira (Kushoto) na Semeni godwini wa mkoa wa Shinyanga wakiwania mpira wakati wa mashindano ya Castle Lite Taifa cup yanayoendelea kwenye kiwanja cha Leaders Jijini Dar es Salaam.Shinyanga ilishinda kwa vikapu 51 - 27.
Mchezaji wa mpira wa kikapu toka timu ya Mkoa wa Iringa , Lilian Hermani (Kulia) na Mary Meshack wa mkoa wa Shinyanga wakinyang’anyana mpira wakati wa mashindano ya Castle Lite Taifa cup yanayoendelea kwenye kiwanja cha Leaders Jijini Dar es Salaam.Shinyanga ilishinda kwa vikapu 51 - 27
Mchezaji wa mpira wa kikapu toka timu ya Mkoa wa Iringa , Morine Syzia wakati wa mashindano ya Castle Lite Taifa cup yanayoendelea kwenye kiwanja cha Leaders Jijini Dar es Salaam.Shinyanga ilishinda kwa vikapu 51 - 27.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...