Prof. Ovchinikov akitoa mada juu ya kuwa Kiswahili kitaweza kushinda 'utandawazi' wa Kiingereza mjini Moscow 2011 na kuwa tuipende lugha yetu kama kina Shaaban Robert, Snow White, Jomo Kenyatta, Patrice Lumumba , Nyerere walivyoienzi lugha ya Kiswahili

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Haya ndio maendeleo tunataka sasa kwa lugha ya Kiswahili kuenea katika ramani ya Dunia nzima!

    Juzi tu tumejadili kuhusu umbumbumbu wa baadhi ya Watanzania kudhani kuwa kutumia lugha ya Kiingereza katika elimu ndio kuelimika!

    ReplyDelete
  2. safi kabisa..

    ReplyDelete
  3. Yaani hii video tamu sana!

    ReplyDelete
  4. Jamani Balozi nyingine igeni mfano wa Ubalozi wa moscow fanyeni mambo yenye maslahi kwa maendeleo ya nchi yetu badala ya kugharamia miziki na kutuonyesha wanawake wakikata viuno.

    ReplyDelete
  5. Hongera sama Ubalozi wetu Moscow kwa hatua kubwa mliyofanya kuendeleza Lugha yetu ya kiswahili

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...