Mdau Mohamed Abdulkarim Kipukuswa na mai waifu wake Asia Mohamed wakiwa katika mnuso waop wa nguvu hoteli ya Vatican jijini Dar baada ya kumeremeta wikiendi ilopita. Kipukuswa, ambaye ni mpenzi sana wa Simba SC na Bwawa la Maini, ni afisa masoko kampuni ya Shey's Limited wakati bi harusi yuko CBE mwaka wa pili akisaka nondozzz ya biashara
 mmmmmmmmwwwwwwwwwwaaaaaaaaaaa................
 Maharusi na mwenyekiti wa kamati ya maandalizi baada ya kumeremeta
Ni furaha kwa kwenda mbele.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. MASHALLAH, Alhamdullilah Hongera Mohamed kwa kufanikiwa kufunga ndoa!!!!

    INSHALLAH ,Mwenyezi Mungu ajaaliye utulivu ktk ndoa yenu!

    ReplyDelete
  2. Wamependeza sana!!! Hongera.

    ReplyDelete
  3. Maashaallah!!! mmependeza maharusi na mwenyezi mungu ajaalie ndoa yenu idumu milele.Lakini jambo moja tu kuhusu vinywaji vya pombe na ndoa za kiisilamu haviendi.

    ReplyDelete
  4. MMEPENDEZA SANA. MWENYEZI MUNGU AIBARIKI NDOA YENU.

    ReplyDelete
  5. Hongera bi Asia. Mtunze mumeo ni lulu huyo

    ReplyDelete
  6. Alhamdullilah, picha ya chini imetulia inadhihirisha kicheko cha bashasha kuashiria kuwa kuanzia muda huo Mdau Sheikh Mohamed ni baba mwenye nyumba!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...