Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

 1. Tangazo linapotosha !

  -Ilitakiwa kusema- 'miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika'

  -Alafu Prof Jay inabidi ajifunze kutoa tangazo lenye busara, ametamka neno 'AU SIO' mara 16!

  Mkongwe wa muziki kama Prof J inabidi atoe mfano mzuri kwa wanao chupukia pls.

  ReplyDelete
 2. Jamani WHY mnaleta hawa? Tunataka wanamuziki wa ukweli kama kina Choki, Banza, na wengineo fleva is past tense. Hawa si wanamuziki jamani, toka lini waimbaji wa karaoke wakawa wanamuziki? Please jamani, next time mkitaka kuleta wanamuziki wa nyumbani ombeni ushauri.

  ReplyDelete
 3. Kaa jamani hii mmetubania, hata anuani ya ukumbi hakuna eti sisi ndo tupige cmu, Tanzania hamjui customer service kabisa, advertisement yeyote inakuwa na full information,(date, adress, time and price)ili kabla hatujapiga cmu tuwe angalau na jibu moja,je ni mbali sana kutoka home kwangu? Je huo muda nitakuwa available. Mi nataka kuja kwa ajili ya prof J

  ReplyDelete
 4. Au sio....!

  ReplyDelete
 5. Useless kabisa. Hawa ndo wanamuziki wa Bongo? Wapi muziki wetu wa asili jamani? Siji ng'oo kwenye shoo yenu leteni wanamuziki wa kiukweli toka nyumbani si waigizaji.

  ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...