Hali kaka,

Kwa takribani wiki mbili nimekuwa mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Tanga kwa kushare maarifa na wachora vibonzo wa miaka ijayo. Mafunzo haya yamehusisha shule mbili mbili toka wilaya za Siha, Muheza na Manispaa ya Arusha.

Mdau Nathan Mpangala.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Very good indeed, keep up the good work Nathan.

    ReplyDelete
  2. safiiiiiiiiiiii
    KNOWLEDGE SHARE

    ReplyDelete
  3. Nathan nakupongeza sana. kwa kweli mi hufurahia sana sana kazi zako!

    ReplyDelete
  4. What u have just done is bigger than what you can explain. Hongera na endelea hivyo hivyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...