Wapendwa wana Malangali na wote wenye mapenzi mema na shule kongwe ya Malangali iliyoanzishwa tarehe 16/4/1928, kwa niaba wa kamati tendaji ya muda ya Malangali Alumni Association, napenda kuwakaribisha wote waliowahi kusoma shule ya Sekondari Malangali kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka utakaofanyika tarehe 11/12/2011 katika ukumbi wa Chonya Bar, Ubungo – Riverside, kuanzia saa 8 Mchana. Tafadhali mjulishe na mwenzako. Karibu tujikumbushe yale ya shule yetu pendwa Malangali.
Unaomba uthibitishe ushiriki wako kwa:
Katibu wa muda: 0717086135 / 0787525396
Mwenyekiti: 0784272411
Asanteni sana.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...