Wafanya biashara wa ndizi wakiwa wame beba mkungu wa ndizi wakiwa wanaupeleka katika soko la mji wa Karatu tayari kwa kuuza.mkungu huo wa ndizi ni mkubwa kiasi ambacho mtu mmoja hawezi kubeba.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Acha hizo mdau, hiyo ni njia muafaka ya kubeba ndizi ili zisiharibike. Mtu mmoja anaweza kubeba hizo ndizi na wababaji wake bila tatizo lolote!

    ReplyDelete
  2. Hiyo sio ndizi, ila ni mkungu wa ndizi. Kiswahili gani munaandika na kuzungumza? Hata cha mlima sio hicho.

    ReplyDelete
  3. hizo ndizi zimeiva, huo mkungu akibemba mtu mmoja zitaharibika! we annon wa wapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...