Vijana kutoka Bububu Zanzibar wakiwakogesha ng'ombe wao kwenye bahari ya Hindi. Wengi wengine huwatumia tu wanyama hawa  kwa kazi zao bila kuwajali na vijana hao ni mfanno wa kuigwa. 
Picha na mdau Martin Kabemba wa Globu ya Jamii, Zenji

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kiwango hiki cha ubinaadamu, kujali na huruma kwa viumbe ingekuwa ndio mahusiano kati ya:

    1.Mtawala na Mtawaliwa
    2.Bosi na Mfanyakazi wake
    (Mwajiri na Mwajiriwa)
    3.Tajiri na Masikini

    Duhh, dunia ingekuwa mahala salama pa kuishi!

    ReplyDelete
  2. Hao mayanki wanamuosha ili wakamchinje. Hakuna busara hapo.

    ReplyDelete
  3. Hawa ni ng'ombe kazi baba na sio nyama. Ila sijaona punda wa M/makumbi kuoshwa 'bado'

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...