Mkurugenzi wa huduma za Benki ya watu wa Zanzibar, PBZ, Bw Said Mohamed Said (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi ya sh.7,500,000/- zilizotolewa na benki hiyo kudhamini mkutano mkuu wa mwaka wa Jumuiya ya wawekezaji katika sekta ya utalii Zanzibar utakaofanyika wiki ijayo mjini Zanzibar. Kulia ni mwenyekiti wa Jumuiya ya wawekezaji katika utalii (ZATI), Abdulsamad ahmed.
Viongozi wa jumuiya ya wawekezaji katika sekta ya utalii Zanzibar, ZATI, wakati wa kupokea sh.7,500,000/- udhamini wa mkutano mkuu wa mwaka kutoka benki ya watu wa Zanzibar jana. (kushoto) ni mwenyekiti wa ZATI, Abdulsamad Ahmed na kulia ni Mwenyekiti mstaafu, Bw. Simai Mohamed Said. Picha na mdau Martin Kabemba wa Globu ya Jamii, Zenji
Safi sana angalau benki yetu wazenji iwe up todate
ReplyDeleteNimependa hii
ReplyDelete