Mkurugenzi wa huduma za Benki ya watu wa Zanzibar, PBZ, Bw Said Mohamed Said (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi ya sh.7,500,000/- zilizotolewa na benki hiyo kudhamini mkutano mkuu wa mwaka wa Jumuiya ya wawekezaji katika sekta ya utalii Zanzibar utakaofanyika wiki ijayo mjini Zanzibar. Kulia ni mwenyekiti wa Jumuiya ya wawekezaji katika utalii (ZATI), Abdulsamad ahmed.
Viongozi wa jumuiya ya wawekezaji katika sekta ya utalii Zanzibar, ZATI, wakati wa kupokea sh.7,500,000/- udhamini wa mkutano mkuu wa mwaka kutoka benki ya watu wa Zanzibar jana. (kushoto) ni mwenyekiti wa ZATI, Abdulsamad Ahmed na kulia ni Mwenyekiti mstaafu, Bw. Simai Mohamed Said. Picha na mdau Martin Kabemba wa Globu ya Jamii, Zenji

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Safi sana angalau benki yetu wazenji iwe up todate

    ReplyDelete
  2. Nimependa hii

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...