Rais wa Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akipatiwa maelezo juu Vipimo vya zamani namna vilivyokuwa vikitumika,wakati wa uzinduzi wa maonyesho ya maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru yanayoendelea kwenye viwanja wa Sabasaba jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa taasisi hiyo Bi. Magdalena Chuwa. (vinavyong’a ni baadhi ya vipimo vya ujazo na uzito vilivyokuwa vinatumika mara baada ya Uhuru )
Rais wa Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein akifurahia maelezo toka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo Bi. Magdalena Chuwa
Afisa Vipimo Mkuu Bi. Zainabu Kafungo akitoa elimu kwa wananchi kwenye maadhimisho ya sherehe za miaka 50 ya Uhuru.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo Bi. Magdalena Chuwa (Katikati) akimsikiliza kwa makini Afisa Vipimo Mkuu Zainabu Kafungo pamoja na Kaimu Meneja Sehemu ya Elimu, Habari na Mawasiliano Bi. Irene John (wa kwanza kushoto) kuhusu masuala ya mabadiliko ya vipimo mara baada ya Uhuru.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...