FAMILIA YA NDUGU SIMBA WAZIRI SIMBA YA JIJINI DAR ES SALAAM, KWA MASIKITIKO MAKUBWA INATANGAZA KIFO CHA MAMA YAO MPENDWA BI. SALIMA IDD SIMBA KILICHOTOKEA TAREHE 13-12-2011, MAZISHI YANAFANYIKA LEO 14-12-2011, MSIBA UPO MTAA WA TANDAMTI NYUMBA NO.77 KARIAKOO.

Inna lillahi wa Inna Ilaihi Raji'un

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. INNA LILLAHI WA INA ILAYHI RAJIUUN!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...