Kwa kuzingatia mwongozo wa katiba ya jumuiya ya waTanzania waishio nchini ALGERIA (ATSA). Tume ya uchaguzi chini ya mwenyekiti RAYMOND MAUKI inapenda kuwatangazia majina ya wagombea katika nafasi mbalimbali kama ifuatavyo::

UWEKA HAZINA: Sarah Swai
                       : Salehe Chande

UWAZIRI MKUU: Helena Merchant
                        Heri Mohamed Abdallah

UMAKAMUU WA RAISI: Twalib  Yusuph Mwinshehe

URAIS: Ali Abbas Ramadhan
           Gilbert Mkenda
           Gibson Kilingo

NB:
Kuchelewa kutolewa majina ya wagombea ni kutokana na mchujo mkali uliokuwa ukiendelea kutokana na wagombea kuwa wengi hivyo kulazimika kutumia busara za ziada.
Pia tume imefikia mapendekezo mbalimbali kuhusu uongozi wa jumuiya yetu ambayo yatawasilishwa siku ya uchaguzi(22/12) mjini Bourmedes.Tume inawatakia maandalizi mema ya uchaguzi.

Imetolewa na
Raymond Mauki - Chairman

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. HONGEREENI WANA ATSA TUNATAKA KIONGOZI BORA .ALIYE MWADILIFU MWENYE HISTORIA YA TABIA NJEMA.

    ReplyDelete
  2. wanaatsa nawausia msisahau ya kuwa ni jukumu lenu kumchagua mtu mwenye sifa na atakayeweza kuisaidia jumia.na vinginevyo ni yaleyale yaliyokwisha tokea.KUWE NASERA BORA KABISA ZITAKAZO LETA MAFANIKIO.kama alivyo sema hapo juu sifa ya uongozi ni jambo jema mu mwenye mienendo mibaya hawezi leta manufa.KILA LA KHERI ATSA ALGERIA.

    ReplyDelete
  3. hiyo si bendera ya Tanzania!

    ReplyDelete
  4. Michuzi hii ni bendera ya nchi gani? TUHESHIMU JAMANI!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...