Mkongwe Juma Ubao "King Makousa" akicharaza gitaa kwenye msiba wa Andy Swebe usiku wa kuamkia leo nyumbani kwa marehemu Sinza, jijini Dar es salaam, ikiwa ni kumkumbuka mwenzao aliyewatoka ghafla. Ratiba ya maziko inatarajiwa kutolewa leo nasi tutawafahamisha mara tutapoipata
 Maestro Kikumbi Mwanza Mpango "King Kikii" akiomboleza kwa kuimba nyimbo za Andy Swebe
 Mafumu Bilali "Bombenga", ambaye alikuwa mshirika na rafiki wa karibu wa marehemu akirekebisha sound
Sehemu ya umati mkubwa wa waombolezaji wakiwa msibani. 
Picha na Richard Maabadi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...