
The farm is 500m from Tarmac Road and connected to the Great Ruaha River (water available throughout the year) by 400m. It is suitable of Irrigation farming with up to 3 crop seasons a year. Currently, onions are planted in the farm
The farm was set up purely for modern irrigation farming and was just completed with the following items: One new 25hp diesel engine water pump with 200 ltrs fuel capacity, new irrigation sprinklers coverings 12 acre land, fencing surrounding all 17 acres, One farm house, toilet unit for farm workers and un finished servant quarter for farm
Small scale farmers planting onions, tomatoes, capsicum, garlic, maize, millet are located in the surrounding areas of the village making it easier to increase the size of the farm and provides source of full time/casual labors for the farm.
For more details serious buyer
mimi naomba kuuliza kwanza huyo anayeuza anaenda nje ya Tanzania kwa nini nina wasiwasi sababu za kuuza ni siri yake.kwa namna gani shamba zuri kama hilo mtu akimbie nchi?kama ni ulaya ndiyo kumechoka sana kibiashara watu hawana kazi.
ReplyDeleteHujaelewa, huyu bwana sio raia wa Tanzania, hivyo basi anarudi kwao. Je, kwao asirudi kisa kumechoka? Mkataa kwao ni mtumwa!
ReplyDeleteYeaaah ni very interesting hawa wadau wenzangu wanaohamia ughaibuni na kuishia kuwas ma-cleaners. Utaachaje kilimo kizuri namna hiyo. Ughaibuni wadau wanasota vibaya sana nenda mahali pengi uone - wanaendesha teksi, hali si nzuri hata kidogo. Nchi zote halis ya uchumi siyo nzuri.
ReplyDeleteHuyu jamaa namjua vizuri sana ni wale wazungu walotimuliwa na mugabe (zimbabwe ).Ni mjanja mjanja sana ,kama kuna mdau yupo interested na hilo shamba awe makini.
ReplyDeleteWa TANZANIA tumelala mgeni anakuja nchini ananunua ardhi nachuma nashiba na sasa anauza anarudi kwao!
ReplyDeleteSisi tumebaki kuota kwenda nje kwa ajili ya Utumwa wa Kisasa wa Ukimbizi, kuishi nje ya nchi bila malengo na kufanya shughuli zisizoeleweka.
TUNAPENDA SANA UFAHARI,SIFA,UMAARUFU NA MUONEKANO!
Angalia tulivyokuwa hatunazo unakuta mtu hana mpango wowote wa kuendesha maisha ana Mil. 10 zake za ngama, labda mafao ya kuacha kazi au kudunduliza kwa kuuza mifuko ya jumla, au Mkopo wa SACCOS (badala yakufungua hata genge la bamia na dagaa linaloingiza pesa) anaingia ktk Mtandao anatuma hela yote anaagiza gari kutoka Japan ya kutumia ,sio ya kuingiza pesa,,,unakuta ANATAPELIWA, au hata akiipata inamtia UMASIKINI ZAIDI KWA VILE ,HANA SHUGHULI YENYE TIJA NA GARI HAIMUINGIZII KUTU!
huenda sio raia watanzania hivyo anarudi kwao, nadhani analiuza pengine kwasababu amepigwa stop kutumia maji ya mto ruaha kumwagilia shamba lake. hivyo hawezi kuendelea na kilimo.
ReplyDeleteWeka makisio ya bei sifa tumeona
ReplyDeleteMbona tunakwepa hoja. Huyu bwana anauza shamba ningetaraji watu waulize jinsi ya kufika hapo na kulikagua, kukagua uhalali wa umuliki, bei nk. Badala yake tunaanza porojo. Lets be serious Watanzania. Ingekuwa Kenya watu wangeishatoa offer ya kununua.
ReplyDeleteAnauzaje naye si raia? Si arudishe halmashauri wagawiwe watu wengine?
ReplyDeleteHUYO SIO MTANZANIA, NDIO MAANA ANARUDI KWAO. BASI MTANZANIA AKINUNUA TU SHAMBA HILO, HALITAPENDEZA NAMNA HIYO! HAPO NI KARIBU NA MBUGA ZA WANYAMA, MTANZANIA AKIONA SIMBA TU ATAACHA SHAMBA LIJILIME LENYEWE!
ReplyDeleteMashamba wanapewa nusu bure. Hivyo anainvest kidogo halafu anauza kwa faida kubwa sana! Hebu uliza bei anayouza uone? Then ufuatilie gharama alizoingia za kufunga hiyo irrigation system halafu utajua kwamba watu wameshajua udhaifu wetu na wanautumia ipasavyo kama wanavyobadilisha majina ya makampuni tu kukwepa kodi. Huyuhuyu atauza lakini baadae ataenda kigoma atapewa shamba lingine bure kama muwekezaji, atasamehewa ushuru wa kuingiza pembejeo na baadae kidogo atauza na kwenda sehemu nyingine!
ReplyDeleteInasikitisha........!@#$%^&*
atutajie bei,je,hakuna deni la mkopo wa benki linalohusiana na shamba hilo?,wengine hawapendi kuweka mambo ya bei hadharani,atataka maelewano ya siri yeye muuzaji na mwenye shamba; na je hakuna posho ya madalali katika dili hili? lease ya shamba ni ya miaka mingapi?imebaki mingapi?
ReplyDeleteMzungu amechungulia amekuta sera ya ardhi Tanzania ''ARDHI NI MALI YA SERIKALI'' na mtumiaji anakuwa kama mpangaji kwa miaka 33 tu!
ReplyDeleteSasa Mzungu amekuta hawezi igeuza ardhi ya shamba hili kama shati lake kama ilivyo Kenya, Malawi na nchi zingine!
what is the price?
ReplyDeletewatanzania ujinga ujinga tuuuuuuu
ReplyDelete