Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Amakweli haya mashirika yamezidi. Je? hii misaada inafika kwa walengwa au mnajinufaisha wenyewe mini napenda kutoa msaada kwa wahusika na sio shirika, yaani nipeleke ikiwa ni chakula au nguo ambayo ataivaa huyo mlengwa na sio kama hapa ina maana mnataka zele mpya ili mziuze kama mitumba.
ReplyDeleteHivi kweli tutafika namna hii.
Tumeona misaada mingi huwa haiwafikii walengwa.
Huu ni usanii uliokwenda shuleni. Pamoja na mabilioni yote za EPA alizokwapua huyu mama kupitia share zake kwenye kampuni ya Uwakili, bado anakuwa na jeuri ya kuomba misaada ya nguo kuuu kuu aka mitumba tena kutoka kwa Watanzania?!
ReplyDeleteUtapeli mwingi Tanzania.Kwanza hawa ndugu waangulie tangazo lao vizuri wa-edit kabla yakukimbilia kulisambaza wasome sawa sawa hilo tangazo waone kama hakuna makosa ndio waprint sio kukimbilia kuprint tangazo na makosa yake.Halafu hakuna watanzania wakutangaza hili tangazo mpaka mtuwekee wa-Asia?Ingeleta maana kama tangazo pia lingehusisha walengwa Watanzania na sio Wa- Asia. Alaaaaaa!!!!!nauhakika hili tangazo limefanywa Asia tena Malaysia dogo-ungetengeneza tangazo na watanzania wenzako lingeleta maana.
ReplyDelete