Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Amakweli haya mashirika yamezidi. Je? hii misaada inafika kwa walengwa au mnajinufaisha wenyewe mini napenda kutoa msaada kwa wahusika na sio shirika, yaani nipeleke ikiwa ni chakula au nguo ambayo ataivaa huyo mlengwa na sio kama hapa ina maana mnataka zele mpya ili mziuze kama mitumba.
    Hivi kweli tutafika namna hii.

    Tumeona misaada mingi huwa haiwafikii walengwa.

    ReplyDelete
  2. Huu ni usanii uliokwenda shuleni. Pamoja na mabilioni yote za EPA alizokwapua huyu mama kupitia share zake kwenye kampuni ya Uwakili, bado anakuwa na jeuri ya kuomba misaada ya nguo kuuu kuu aka mitumba tena kutoka kwa Watanzania?!

    ReplyDelete
  3. Utapeli mwingi Tanzania.Kwanza hawa ndugu waangulie tangazo lao vizuri wa-edit kabla yakukimbilia kulisambaza wasome sawa sawa hilo tangazo waone kama hakuna makosa ndio waprint sio kukimbilia kuprint tangazo na makosa yake.Halafu hakuna watanzania wakutangaza hili tangazo mpaka mtuwekee wa-Asia?Ingeleta maana kama tangazo pia lingehusisha walengwa Watanzania na sio Wa- Asia. Alaaaaaa!!!!!nauhakika hili tangazo limefanywa Asia tena Malaysia dogo-ungetengeneza tangazo na watanzania wenzako lingeleta maana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...