Hii ni njia ya kuelekea Tegeta majira ya jioni na hivi ndivyo mambo yanavyokuwaga pindi kunapokuwepo na mnyororo ulionyooka vizuri.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Bora umeleta hizi picha..hiyo sehemu ni balaa kwa kutanua..

    Wale wanaotanua huwa wanajiona wajanja sana na kuona wanaokaa kwenye foleni kama wajinga fulani vile.Ni mazoea tu..ila wanakera kusema kweli.Siyo kwamba watu walioko kwenye foleni hawana haraka..kila mtu anakuwa halaka jamani.

    Nyie mnaoishi huko kwenye nchi za Magharibi...nasikia watu kama hawa wanaovunja sheria barabarani huwa wanakutana na 'faini' wakienda kulipia sijui ushuru(sina uhakika)ila kuna system(camera?) unakuwa unarekodiwa makosa yako ya barabarani bila kujua..kwa nini na sisi tusifanye hivyo?

    David V

    ReplyDelete
  2. hizo kamera zenyewe zi wataziiba m

    ReplyDelete
  3. Uncle,

    Ni jukumu lako pia KUHAKIKISHA kwamba LUGHA yetu ya kiswahili inakuwa ni sahhihi wakati wa kuwasilisha habari na burudani. Maneno kama INANAVYOKUWAGA na HALAKA badala ya neno sahihi HARAKA ni muelekeo mbaya wa lugha yetu adhimu ya kiswahili ambayo huku marekani na ulaya wanaithamini sana.

    Tusaidiane kurekebishana

    ReplyDelete
  4. David,
    Observation nzuri: Bongo kila mmoja anajitahidi kuwa 'mjanja' hadi ujanja wa kuiba mali za umma.
    Nchi za Magharibi, ndio kuna foleni za magari lakini hazifikii kiwango cha kudai 'ujanja'.
    Lakini tofauti kubwa iliyopo kati ya Bongo na nchi za magharibi ni utamaduni: Bongo tunashindana kuvunja sheria wakati watu wa Magharaibi wanashindana kuheshimu sheria.

    ReplyDelete
  5. Msiwalaumu madereva wanaopita wrong side of the road sababu kubwa ni barabara ndogo na hao wakiamua kukaa foleni mjue itakuwa kubwa kuliko hivyo tatizo ni serikali inajua njia hiyo inatumika na magari mengi kwa nini wasitanue huo upande wanaotumia kinyume cha sheria

    ReplyDelete
  6. Nawe tanua nani kakuzuia hii Bongo bana ujanja kuwahi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...