Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Dkt,Wilbroad Slaa (kulia) akisisitiza jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam leo kuhusu hali ya siasa na mwelekeo wa Taifa na Chama katika mwaka 2012. Kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Zito Kabwe.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Zitto, kwani wewe ukianzisha jambo halafu ukakumbwa na dharura, kisha ukarejea, jambo hilo huwa limekufa?

    ReplyDelete
  2. Tatizo hiki kikundi kina wanasiasa 4 tu:-
    1.Mabere Marando
    2.Wenje Dibogo
    3.Halima Mdee
    4.Zitto Kabwe

    Waliobaki ni washabaki wa siasa na walaji vilevile. Ni heri mfute neno Demokrasia maana haimo kwenye kikundi/kampuni hii.

    Naona mnamsubiri ENL ili muunde naye serikali ya mseto. KALAGHABAHO

    Baba Padri/Paroko(wa Katoloki) CCM inayojijenga 2013 inaitwa CCM-Mwananchi. Kama kuna mtu kawekeza kwenye hii ya sasa ambayo wana siasa wa kati/watendaji hawataki/hawana uwezo wa kumuunga JK kujenga nchi (bila posho)asahau. Kujenga nchi hakuitaji kuachia kinara mmoja na kisha kumlaumu kila kitu. Hata Mungu mwenye ENZI zote amejenga system ya utawala na uwajibikaji.

    CCM imeng'amua tatizo lake (middle level political will/public service gearing)na bila hata wengine kuwemo, itavuka na akina mama ntilie; vijana walala hoi na watoto kama tulivyofanya 1967.

    KUMBUKA HII.

    MTWA NG'WANANCHI.

    ReplyDelete
  3. Wewe anon wa pili kwani wanasiasa unataka wawe wangapi? hata akiwepo mwanasiasa mmoja kwani tatizo nini? kila kundi dogo linaongezeka kufuatana na imani wanayoijenga kwa wananchi na jinsi wanavyojiimarisha..habari za wanasiasa wanalelewa, wanakuwa na baadae kuchomoza. kaa kushoo huko na ndoto zako

    ReplyDelete
  4. kelele sio kuongoza nchi baba rudi kwenye parokia yak katoe huduma huko

    ReplyDelete
  5. Mafisadi yutawajua tu, chama kimeoza, kinanuka, kiko0 kaburuni! ni siku ya kukifukia tuu CHADEMA itAWALE NCHI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...