Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenherts,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Ujumbe uliofuatana naBalozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenherts,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.(Picha na Ramadhan Othman, Ikulu Zanzibar.)
Please Tell ambassador kwa nini ubalozi wake unanyanyasa raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika visa. Unataka wazamie US kama wa Mexico. Please its time US embassy waache kuwasumbua na kuwadhalilisha wananchi wetu bila sababu za msingi.
ReplyDeleteFUL STOP