Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenherts,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la  Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Ujumbe uliofuatana naBalozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenherts,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.(Picha na Ramadhan Othman, Ikulu Zanzibar.)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Please Tell ambassador kwa nini ubalozi wake unanyanyasa raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika visa. Unataka wazamie US kama wa Mexico. Please its time US embassy waache kuwasumbua na kuwadhalilisha wananchi wetu bila sababu za msingi.
    FUL STOP

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...