The select 70 Global Shapers in group photo before a session in Davos. |
Doreen arrives at the WEF Forum 2012
Doreen speaks as one of the panelists and speaker on "Entrepreneurship in Action"![]() |
Doreen meets Goodwill Ambassador Yvonne Chaka Chaka in Davos |
Doreen Noni is currently attending the 2012 World Economic Forum, being one of the 70 carefully selected Global Shapers from 36 countries, representing 44 hubs from Mexico, Dominican Republic, Ireland, U.S.A, United Kingdom, Ghana, South Africa, Ethiopia, Denmark, Israel, Chile, Venezuela, India, Japan, China, Turkey, Nigeria , Mongolia, Egypt and Tanzania, to name a few. This year's theme is The Great Transformation: Shaping New Models, which has been subdivided into four pillars:
On day one, the Global Shapers received a warm welcome from Professor Klaus Schwab, Founder & Executive Chairman of the World Economic Forum, as well as David S. Aikman the Senior Director, World Economic Forum. the Global Shapers at Davos have been creating a list of the key issues in the four pillars.
• Society and Technology
• Resource and Sustainability
• Leadership and Innovation
• Growth and Employment
The forum recognized her leadership and innovative qualities and thus appointed 22 year as the pillar of Leadership and Innovation as one of her areas of expertise. She is also one of the youngest Global Shapers to attend this year's forum
On January 26, 2012 Doreen was nominated to be a panelist and speaker on "Entrepreneurship in Action" at the Swiss Alpine School, that brought in key speakers during the Davos WEF each year to speak to its high school students. Several years ago, Mohamed Younis spoke. This year's session will focus on Global Shapers sharing their stories of turning ideas into impact. Doreen will be sharing with the students her personal experiences running a fashion label Eskado Bird, the What's Your Freedom? campaign as well as her multimedia company Miracle Films & Studios limited.
Lakini hujasema hiyo Doreen Noninvasive anafanya nini na imekuaje mpaka amass nominate/selected.
ReplyDeletekuuza sura tu ndiyo kazi ya wabongo
ReplyDeleteYaani na mimi nilikuwa nataka kuuliza anafanya nini hapa duniani na yeye ni nani ili tujue kama ametuwakilisha au ameuza sura tu.
ReplyDeletehuyu dada inabidi hajifunze kwamba mavazi yanaenda na weather next time ukienda nchi za baridi vaa mavazi ya baridi uswiss sio califonia angalia wenzio nunua tight na boots sio unakuwa kama umeenda kwenye mashindano yama ma miss.vaa kama umesoma.namaanisha hiyo picha ya pili.mitumba kibao bongo.
ReplyDeleteCha umuhimu Doreen Noni ni yeye kunufaika na Msafara huo na pia nchi kupata faida na isiwe safari ya matumizi na matembezi tu!
ReplyDeleteYvonne Chaka Chaka,
ReplyDeleteSijui ndio hela zenyewe hizo , sijui ndio maumbile yake asilia?
Huyu bi mkubwa mtamu saaana anazeeka na utamu wake!
Wabongo kupondana tu ndio tumejaliwa! Simfahamu Doreen but I truly think access to any of the Davos forums in whatever capacity is a sure recognition of talent if not potential.
ReplyDeleteWabongo bwana, hawapendi maendeleo ya wenzao! na hasa akiwa mzuri - kama huyu mtoto wa watu!
ReplyDeleteHadi mtu ana-comment kwenye mavazi sijui ya picha ya pili? jamani wivu mwingine... kwani ukikubali tu kwamba amekushinda ambacho ni kweli 'yuko juu' utabadilika nini? bora usi-posti comments kuliko kuonyesha wazi kuwa ww ni hater...
Ndiyo maana huna maendeleo, una kijiba cha roho na inaonekana uko chini ya mamlaka ya shetani umefungwa! Sali utoke huku vinginevyo utaachia hadi kizazi chako laana.
Msijifanye kutetea upupu...hili ni jukwaa huru la kutoa maoni! Jambo la msingi m/ukubali dada Doreen hakutendea haki hali ya hewa! Suala la kufanikiwa au kotofanikiwa, kuwa juu au chini halina nafasi kiiiiivo! Ukijitokeza public ujiandae kuwa critical na kuwa criticized!
ReplyDeletehakika ndio maana watanzania hatufiki popote! mimi naamini kabisa huyu binti mpaka amechaguliwa kufika huko ana kitu cha ziada., sasa maswala ya nguo zake sioni kama yana umuhimu hapa!
ReplyDeletenadhani ni busara kwa watanzania kumpa support huyu binti na labda ingekuwa vizuri kwa michuzi kuweka clip ya majadiliano waliyofanya ili watu wamjaji kwa uelewa wake wa mambo na si mavazi!
najua ni ngumu kwa watanzania( walio wengi) kuwakubali wenzetu wakifanikiwa embu tujaribu kubadilika!
hakika ndio maana watanzania hatufiki popote! mimi naamini kabisa huyu binti mpaka amechaguliwa kufika huko ana kitu cha ziada., sasa maswala ya nguo zake sioni kama yana umuhimu hapa!
ReplyDeletenadhani ni busara kwa watanzania kumpa support huyu binti na labda ingekuwa vizuri kwa michuzi kuweka clip ya majadiliano waliyofanya ili watu wamjaji kwa uelewa wake wa mambo na si mavazi!
najua ni ngumu kwa watanzania( walio wengi) kuwakubali wenzetu wakifanikiwa embu tujaribu kubadilika!