Kwa viwalo vya kisasa kwa kinamama na kinababa pamoja na watoto kutoka USA, Spain na Italy tembelea J&M Virgo Boutique iliyopo katika jengo jipya ya C&G Mikocheni kwa Warioba jijini Dar es salaam ambako utawakuta James Shan'ga na Da'Mishi Marshall wakikukuhudumia kwa weledi.
Watembelee katika libeneke lao:
Hapa ushindwe wewe tu....
Mashati ya uhakika na suti za kileo
Viatu toka Italy
Da'Mishi Marshall akiwa ofisini
Hawa jamaa wanauza vitu ghali sana wakati ni vitu vya kawaida kabisa ambavyo unaweza kuvipata sehemu zingine nyingi kwa bei nafuu sana tu.I don't recommend shopping here at all!
ReplyDeleteKwani si uende tu kwenye bei nafuu? Tunaojua na kutakata viwango na utofauti tukiwa nazo tutaenda virago tu.
ReplyDeletemdau nakubaliana nawe. lakini kila duka linauza kulingana na mahali lilipo, kodi wanayolipa ya pango, tra wakiiingiza mzigo na ubora wa vitu/bidhaa.
ReplyDeleteunaweza kununua shati congo st bei nafuu lakini huna uhakika kama ni genuine au limefyatuliwa china. kitu ghali ujue kina uhakiki na ubora wake. kwa hiyo ukiuziwa ghali, juwa kimegharamiwa na ni bora.
WEWE MDAU MFUNGUA KINYWA WA KWANZA, ACHA NONGWA YAKO KAMA HUNA HELA YA KUNUNUA NENDA KANUNUE MTUMBANI HUO NI USWAHILI KUJALAZIMISHWA KWENDA NUNUA PALE.HILO NI TANGAZO LA BIASHARA KAMA UNATAKA KANUNUE HUTAKI SINUNUE FALA MKUBWA WEE! CHIPS KINONDONI KWA MANYANYA NI SHS 2000, UKINUNUA CHIPS HIO HIO WHITE SAND NI SHS 10,000/= WAAMBIE NA HAO WALA CHIPS WASINUNUE HOTELINI HAPO WHITE SAND, KWANI NI BEI KUBWA . MSHAMBA HUJAENDA SHULE ,KANAWE KWANZA USO, UTOE TONGO TONGO NDIO UENDE INTERNET CAFE UKALIPE SHS 250 ROBO SAA.
ReplyDeleteKUMBUKA HILO DUKA HALIKO VINGUNGUTI ! LIKO MIKOCHENI KWA WATU WANAOWEZA NUNUA KWA THAMANI INAYOSTAHILI. WEWE UNA FIKIRI HILO DUKA KAPANGISHA BURE?UTAMLIPIA WEWE RENT?, SWAINI MSWAHILI WA HEDI.
MDAU LONDON
VERY NICE. JAMANI MISHY UMEENDELEA HIVYO DADA ANGU. HONGERA SHOGA MJASIRIMALI WA NGUVU DUKA NDANI SHOPPING PLAZA SI MCHEZO. VIWALO PIA SI MCHEZO. NIKIPATA KITABU CHANGU NTAKUJA KUTEMBELEA DUKA LAKO.
ReplyDeleteMDAU USA.
Mdau Fri Jan 20, 03:46:00 PM 2012 nina wasiwasi una uhusiano na duka hilo.
ReplyDeleteHii ni BLOG.Sawa, ila mimi nitarudia kusema Matangazo ya biashara tuyaheshimu jamani..Mtu anapoweka biashara yake si vizuri kutoa maoni ambayo ni hasi hata kama yana ukweli ndani yake.Waweza kusoma tu na 'kukata kona'.Fikiria wewe unayesoma comment hii umeweka biashara yako sehemu fulani halafu kuna mtu pembeni anapiga kelele..hee msinunue hiyo...hiyo mbovu hiyoooo...anawadanganya huyo......!
ReplyDeleteDavid V
VIRGO MBONA MNAKUJA KASI HIVYO. JAMANI DUKA KUBWA, VIWALO VYA NGUVU DUKA JAMANI KAMA LIPO NDANI YA SHOPPING MALL MAJUU. LIMEPENDEZA KWELI HOPE NAMI NINGEKUWA NA NJULUKU NIKAFUNGUA MDUKA MKUBWA KAMA HUO. DUKA LA LAAAAANA.
ReplyDeletekwa maelezo na picha zaidi bofya hapa :- j&m virgo blogspot.com
ReplyDeleteHuyo mdau wa kwanza anachuki binafsi au ni mtu ambaye hajatembea
ReplyDeletemichuzi mtoa mada last but one hapo juu amechafua hali ya hewa! amututukana sisi wa vingunguti, na usifikiri anaekaa vingunguti kapenda, nae anajitahidi na maisha na utakuta walio nazo ni vigumu sana hata kutoa hela zao japo kuchangia wasio nacho hata kama ni kuhusiana na suala la elimu. sisemi ni hao wenye duka but kumbuka nchi hii kuna ukiukaji haki wa kila aina ili wachache wajirajirishe. usiseme for the sake of kusema, usiandike for the sake of kuandika. TAFAKARI!
ReplyDeleteFreedom of speech lets them talk what ever they want.
ReplyDeletejamani hizi picha ni nyanya tu. ingia j&m virgo blogspot utazimia. kuna vitu vya nguvu kama ukifa utataka uzikwe navyo. nime google j&m virgo ikafunguka link yako. kubonyeza hivyo vitu vyilivyomo humo ndani, anajua mwenyewe mwenye duka. nimefurahisha macho tu hata kama sina hela lakini siku moja ntajipinda. life is too short!
ReplyDeleteVitu J$M Virgo ni vikali,,,usipime!
ReplyDeleteMwenye hela zake na anaetaka viwango atanunua!
Anaetaka kwa bei ya chini aende sagula sagula Mchikichini, Congo Kariakoo au Manzese akaokote za kurundikwa chini!
uza mlivyozalisha = maendeleo kwenu, nyie wa-TZ!
ReplyDelete