Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Rekebisha sauti,inasikika kwa mbali sana Bwana Michuzi

    ReplyDelete
  2. Hongera sana Mheshimiwa! You make us proud indeed!!! AF

    ReplyDelete
  3. Mzee wetu anapenda maujiko! wakati huko madaktari wamegoma na watu wanapoteza maisha kwa uzembe na disfunctional leadership! Hii ni hatari kweli hao marais waende katika hospitali za Tanzania wajionee watu wanavyozidiwa na kupoteza maisha kama hawajalia na kusaga meno! This is a joke!

    ReplyDelete
  4. mh.kikwete ni rais wa ukweli tunakuaminia na tunakupenda na kama kutaombwa kula za maoni basi tutapendekeza utuongoze katika kipindi kingine tena nina uhakika ukituongozaq miaka 10 mingine tanzania tutakuwa mbali sana tuachane na siasa chafu tuwe wakweli kikwete ni best for us.

    mungu ibariki tanzania
    mungu ibariki africa.

    ReplyDelete
  5. Slaa unaweza hayo... mambo makubwa mzee

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...