Rais Jakaya Kikwete ameshawasili Ifakara tayari kwa kuongoza mazishi ya Marehemu Regia Mtema yanayofanyika leo kuanzia saa tisa alasiri kwa mujibu wa ratiba ilivyopangwa.Hata hivyo Ripota Wetu ambaye yupo eneo la tukio hivi sasa anathibibisha kuwa kuna hati hati ya kuharibika kwa ratiba hiyo kutokana na mvua kubwa iliyoambatana na radi inayoendelea kunyesha hivi sasa huku upepo mkali pia ukipuliza.
kama mvua hiyo ikikatika muda huu basi ratiba itaendelea kuwa kama ilivyopangwa hapo awali,hivyo tuvute subira kwani Ripota wetu ataendelea kutujuza hali itakavyokuwa huko.
Hivi Rais Wetu anapata wapi wa kuzika kila mtu, sijawhi kuona duniani the busy president kwenye misiba kama JK, it is too much!!!!
ReplyDeleteCCM mko juu kwa ushirikiano,,,wenu...pig up!...Ahla UK
ReplyDeleteaisee wewe Ahla wa UK seems unakula kitimoto naona umesifia hapo " Pig Up"
ReplyDelete