Rais Jakaya Kikwete ameshawasili Ifakara tayari kwa kuongoza mazishi ya Marehemu Regia Mtema yanayofanyika leo kuanzia saa tisa alasiri kwa mujibu wa ratiba ilivyopangwa.Hata hivyo Ripota Wetu ambaye yupo eneo la tukio hivi sasa anathibibisha kuwa kuna hati hati ya kuharibika kwa ratiba hiyo kutokana na mvua kubwa iliyoambatana na radi inayoendelea kunyesha hivi sasa huku upepo mkali pia ukipuliza.

kama mvua hiyo ikikatika muda huu basi ratiba itaendelea kuwa kama ilivyopangwa hapo awali,hivyo tuvute subira kwani Ripota wetu ataendelea kutujuza hali itakavyokuwa huko.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hivi Rais Wetu anapata wapi wa kuzika kila mtu, sijawhi kuona duniani the busy president kwenye misiba kama JK, it is too much!!!!

    ReplyDelete
  2. CCM mko juu kwa ushirikiano,,,wenu...pig up!...Ahla UK

    ReplyDelete
  3. aisee wewe Ahla wa UK seems unakula kitimoto naona umesifia hapo " Pig Up"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...